mwamfyondole
Member
- Jan 3, 2017
- 53
- 41
Habar wana jf,Heri ya Mwaka Mpya!!! Mm n mgen humu!! Natafuta simu kwa yeyote anae uza!! Simu iwe n kampun la Tecno au Samsung!!! Bajet yangu n laki mbili (200,000)!! Alie tayar akuje pm
Ongeza mia mkuu nikuachie microsoft 640 dual used a monthHabar wana jf,Heri ya Mwaka Mpya!!! Mm n mgen humu!! Natafuta simu kwa yeyote anae uza!! Simu iwe n kampun la Tecno au Samsung!!! Bajet yangu n laki mbili (200,000)!! Alie tayar akuje pm
Nipo DSMUpo wapi mkuu
Haya usijali ndugu utapata tu vuta subiraUwezo wangu uko hapo broo
Nataka smartphone![]()
Njoo inbobo litekno hilo hapo..
Habar wana jf,Heri ya Mwaka Mpya!!! Mm n mgen humu!! Natafuta simu kwa yeyote anae uza!! Simu iwe n kampun la Tecno au Samsung!!! Bajet yangu n laki mbili (200,000)!! Alie tayar akuje pm[/QU
ipo tecno c8 laki2 na 20,iko vzur sansHabar wana jf,Heri ya Mwaka Mpya!!! Mm n mgen humu!! Natafuta simu kwa yeyote anae uza!! Simu iwe n kampun la Tecno au Samsung!!! Bajet yangu n laki mbili (200,000)!! Alie tayar akuje pm