Nahitaji simu ya blackbery ipi nzuri nishaurini jaman

SWEET GIRL

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2011
Posts
520
Reaction score
377
Wapendwa nahitaji simu aina ya blackbery sasa nashindwa kujua ipi ni nzuri so please naomba ushauri ninunue ipi pesa yangu pia si nyingi pls pls nisaidieni nisije nikaingizwa mkenge hapa mjini
 
yenye torch na anterna.
 
Wapendwa nahitaji simu aina ya blackbery sasa nashindwa kujua ipi ni nzuri so please naomba ushauri ninunue ipi pesa yangu pia si nyingi pls pls nisaidieni nisije nikaingizwa mkenge hapa mjini

Nakushauri,nenda jukwaa ka Matangazo,kule unaweza weka tangazo lako na utasaidiwa,huku sidhani.
 
nenda manzese pale darajani tangaza shida yako,wale mateja watakuletea sampuli kama mia hivi..mpaka zenye torch, anterna na redtooth,greentooth,blacktooth.nk,nk
 
Kuna ofa za BB zimetolewa Voda.
 
Wapendwa nahitaji simu aina ya blackbery sasa nashindwa kujua ipi ni nzuri so please naomba ushauri ninunue ipi pesa yangu pia si nyingi pls pls nisaidieni nisije nikaingizwa mkenge hapa mjini
Sweet Girl,
kama unahitaji Blackberry halafu haujui ni aina gani,inaonekana hata matumizi yake yatakusumbua. Nakushauri endelea kutumia Nokia torch mpaka hapo utakapojua ni aina gani ya blackberry itakufaa kwa matumizi yako.
 
Kama unazifahamu, mwelekeze tu. Yawezekana ameambiwa na buzi lake achague simu yoyote ya blackbery. Mimi bahati mbaya sizijui, natumia TECNO
 
bb hii hapa ina specification nzuri na bei pia sio kubwa sana inatumia os 5 na utawepa upgrade kwenda 6

blackberry-bold-9700-new.jpg

Ina 3g, ram 256mb, internal memory 256mb inaingia memory card
Camera ni 3.2mp ina wireless processor 624mhz

Bei ni laki 3 hadi 4.
 
nenda manzese pale darajani tangaza shida yako,wale mateja watakuletea sampuli kama mia hivi..mpaka zenye torch, anterna na redtooth,greentooth,blacktooth.nk,nk

Kaka mchaga..., vipi banana ishapanda kichwani nini?
 
Miafrika mijitu ya ajabu sana...yaaani mivivu sana hata simu unataka kushauriwa..
 
bb hii hapa ina specification nzuri na bei pia sio kubwa sana inatumia os 5 na utawepa upgrade kwenda 6

blackberry-bold-9700-new.jpg

Ina 3g, ram 256mb, internal memory 256mb inaingia memory card
Camera ni 3.2mp ina wireless processor 624mhz

Bei ni laki 3 hadi 4.
Kwa sista duu specs zote hpo kwke hazina muhimu ye antka ya kuuzia sura 2 BB cku hz urembo weng hawajui hta kuzi2mia
 
Duh hata mdada wa watu amekimbia maaana mabango aliyopata hata sijui kama atarudi hapa jukwaani.

Kwa mtazamo wangu naona ni vizuri kujibu kitu kama unaelewa na sio kuvunja watu moyo yaani bora umuelekeze mtu kuliko kumpoteza kabisa
 
yaani tushauriane hadi simu, kuna siku mtu atakuja kutuuliza nia aina gani ya ndala za kuogea anunue
 
Ni pm nikuuzie hii yangu. Fanya fasta kabla Madalali hawajajitokeza hapa. Btw hii ndo ile wanaipendaga sana wenzio inaitwa torch.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
bb hii hapa ina specification nzuri na bei pia sio kubwa sana inatumia os 5 na utawepa upgrade kwenda 6

blackberry-bold-9700-new.jpg

Ina 3g, ram 256mb, internal memory 256mb inaingia memory card
Camera ni 3.2mp ina wireless processor 624mhz

Bei ni laki 3 hadi 4.

Mkuu naomba uniambia hii BB ni model gani.Natanguliza shukrani
 
Kama ya kununua kwa hela yako anza na BB9700 au kama pedeshee ndio anakununulia anza na BB9900.
 
Back
Top Bottom