Taylor Gang Jr
Senior Member
- Jul 2, 2013
- 131
- 7
Habari za jioni wakuu...!!
#nilikuwa nahitaji simu kama itawezekana kuipata hata ndani ya wiki hii,especial jumamosi.
Mm nitakupa tsh laki mbili (200,000) kamili pamoja na simu ya BlackBerry Bold 9780 (white),ipo in good condition na haina matatizo yoyote,na haina scratches.
##Naomba Tuwasiliane wakuu kama inawezekana kufanya hivyo..*NASHUKURU*