return of cs
Senior Member
- Jul 11, 2015
- 130
- 24
Narudi kwenu wakuu, nahitaji simu aina tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na bajeti yangu ni tsh100,000.
kuna huawei y 520 namba yangu 0672110065narudi kwenu wakuu,nahitaji simu aina tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na bajeti yangu ni tsh100,000
Huawei y330 kwa 80,000
narudi kwenu wakuu,nahitaji simu aina tajwa hapo juu iwe katika hali nzuri na bajeti yangu ni tsh100,000
Uko wap ww mm ninayo huawei y320 iko vizuri sana
Njoo nikupe techno y4 kwa hiyo laki moja. Ni mpya na bado ina warant.