Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Oct 26, 2017 #21 nguvu said: Ngoja yawakute ya kuwakuta ndio watatia akili, njagu wetu wanapenda sana kesi za kuuziana simu mikononi Click to expand... Na hii biashara ni kubwa mno, mi simu used hapana kwakweli
nguvu said: Ngoja yawakute ya kuwakuta ndio watatia akili, njagu wetu wanapenda sana kesi za kuuziana simu mikononi Click to expand... Na hii biashara ni kubwa mno, mi simu used hapana kwakweli
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,112 Oct 26, 2017 #22 dlnobby said: Habari wanajukwaaa. Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite... Kama unayo naomba unitumie picha na uje PM kwa biashara zaidi. Click to expand... Simu ya elfu kumi na nane (18000) ipoje?
dlnobby said: Habari wanajukwaaa. Sina maneno mengi sana nahitaji simu nzuri yenye uwezo wa 4G iwe used lakin isiwe zaidi ya miezi sita....nipo dar jiji la bashite... Kama unayo naomba unitumie picha na uje PM kwa biashara zaidi. Click to expand... Simu ya elfu kumi na nane (18000) ipoje?
elmagnifico JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 8,260 Reaction score 9,747 Oct 26, 2017 #23 Evelyn Salt said: ukinunua simu ambayo ilishapiga tukio huko? Click to expand... Ajali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu.
Evelyn Salt said: ukinunua simu ambayo ilishapiga tukio huko? Click to expand... Ajali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,672 Reaction score 167,738 Oct 26, 2017 #24 elmagnifico said: Ajali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu. Click to expand... Teh haya
elmagnifico said: Ajali kazini madam mwendo wa used watu wananunua hadi nguo za mitumba alizovuliwa marehemu. Click to expand... Teh haya