Wako chakechake Zanzibar?😄😄Andaa maumivuWanajamvi nahitaji simu aina hiyo sasa kila nikipita mitandaoni nakutana na matangazo Cha ajabu Bei ni Chee kweli kweli Hadi zinanitisha mara Tsh 400k mara 350k nikiwasiliana nao wananieleza lipia nusu ukipokea mzigo unakamilisha nimewachek watatu Hadi sasa na wote ujumbe ni huo ...this deal is too good to be true
Nakuuliza ndiyo utapeli mpya ama ni halisi ?
Aandae na mlioWako chakechake Zanzibar?😄😄Andaa maumivu
Uliipata kwa bei hiyo?Usiogope mzigo wako utakufikia salama, mwenyewe nilihisi ni Utapeli Ila simu yangu ilifika na ndo naitumia hapq
Ndio mkuu, 350k niliwatumia 200k then hiyo nyngn nikalipa nilivyopokea mzigoUliipata kwa bei hiyo?
Atalia muda sio mrefu. Kuna shemeji yangu alitaka kukopa Kuna watu wanaitwa TALA! Wakamwambia atume deposit laki nne ili wamkopeshe milioni 4!Jichanganye uchanganywe kama zege
Sijui mtu unakua na ujinga wa kiasi gani utume 400k ili eti wao wakutumie 4m. Swali rahisi si wakutumie 3.6m?Atalia muda sio mrefu. Kuna shemeji yangu alitaka kukopa Kuna watu wanaitwa TALA! Wakamwambia atume deposit laki nne ili wamkopeshe milioni 4!
Alivyotuma tu hakuwaona tena. Na police hawana msaada TZ fraud nje nje, ukifika police na wao wanataka yaani ni kukamuliwa kama ngombe
Unahamasisha mtu aibiwe mazee inakuaje unaweza kutuma picha ya hiyo simu unayoitumia hapa ukiwa umefungua sehemu ya mafaili hapa sio ya kudownload..Usiogope mzigo wako utakufikia salama, mwenyewe nilihisi ni Utapeli Ila simu yangu ilifika na ndo naitumia hapq
Eti Google Pixel 9 imepigwa bandarini. Hayo yamekuwa marobota ya mitumba?Simu zimepigwa bandarini ni nzima na nzuri ila Kwa ushahuri waulize wapo wapi? Na kama unaweza nenda kakabidhiane mkono Kwa mkono itakuwa vyema
Nimesoma koment ya mmoja hapo anasema wapo chakechake, yeah wengi wenye biashara hiyo ni wa Zanzibar na ikitokea wamekuuzia simu na ikazingua wanakubadilishia yaani wanakupa na guarantee
Fika mahali husika ukabidhiane Mali Kwa Mali , usitume na ya kutolea
Sasa mzee kama mtu ana akili zake timamu anashindwa kujua anakwenda kupigwa mm nifanyaje, Acha apigwe tuu hata hao matapeli wana familia.Unahamasisha mtu aibiwe mazee inakuaje unaweza kutuma picha ya hiyo simu unayoitumia hapa ukiwa umefungua sehemu ya mafaili hapa sio ya kudownload..
Haujaandika kitu cha maana kabisa mazee nimeomba picha ya simu unayotumia maana umesema upo nayo goggle pixel 256 Gb kwa laki kadhaa kwa msisitizo umesema umetuma hela mara mbili ili kuipata baadae unakuja na maelezo ya uongo...Sasa mzee kama mtu ana akili zake timamu anashindwa kujua anakwenda kupigwa mm nifanyaje, Acha apigwe tuu hata hao matapeli wana familia.
Mtu anajua kabisa simu inauzwa sio chini ya 1m, amepata sehemu huko hiyo hiyo simu inauzwa 400k na anaambiwa atume pesa na yeye anaona fresh tuu sasa unataka kumshauri nn huyu?