Kinafundisha Vzr?Nenda sinza kunavhuo cha The Kilimanjaro Institute of Technology Management
Nenda University Computing Centre, UDSMHabari wana jf, poleni na majukumu ya kazi. Kwa yeyote anayejua center inayotoa mafunzo ya muda mfupi ya Tehama iliyopo maeneo ya ubungo naomba anielekeze nahitaji kusoma.