Sikupi guarantee lakini najaribu kukutaftia mkuuKama unayo mkuu.. Msaada tafadhali
Mimi ninayo season ya 5 na season ya 6 ambayo mpaka leo imetoka episode ya 7. nichek tufanye biasharaTafadhali wana jamvi mwenye hii series inaitwa If Loving you is wrong, nahitaji season ya 5 na kuendelea, please naomba kama unayo na upo Dar niambie nitakufata ulipo, nitakuja na flash kuichukua.. naomba ni PM tafadhali. Asante sana.
Polite Request:
If u dnt have it please reserve ur comment, dont tell me to go download it..
Mbona hujaniaga?Baby mie niko huku nanjilinji cant help him.
Jamani si nilikuaga jamani, au umesahau!!!Mbona hujaniaga?
Haya mama..Hii series sijaingalia kitambo aisee..Jamaa kanifanya nikaitafuteJamani si nilikuaga jamani, au umesahau!!!