Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Poa mkuu,. Nakuja
Mbona PM yako inasumbua mkuu nimekutumia sms naona ina kataa,.hebu nitumie ww tafadhali
Sikufanikiwa dearVp ulifanikisha hili jambo my dear?
Tutaongea kuleSikufanikiwa dear
Unayo sehemu?au canteen mkuu?Vp ulifanikisha hili jambo my dear?
Shida ni nn mkuuUnayo sehemu?au canteen mkuu?
Haya bbyTutaongea kule
Nilikuwa naogooa eksipansheni jointi. Jaribu sasa Hivi.Mbona PM yako inasumbua mkuu nimekutumia sms naona ina kataa,.hebu nitumie ww tafadhali
Mmh siku zoote hizo jamanii khaNilikuwa naogooa eksipansheni jointi. Jaribu sasa Hivi.
Pole sana. Sikuwa najua kama kuna tatizo kama Hilo! Pole sana!Mmh siku zoote hizo jamanii kha
Ha ha ha, jamaa mwehu huyo!Mmh siku zoote hizo jamanii kha
Wewe jamaa bwana! Ha ha ha.Pole sana. Sikuwa najua kama kuna tatizo kama Hilo! Pole sana!
Hahaha Rebecca wangu ahsante jamanii,.Mungu ni mwema niko na mgahawa sasa karibu mnoo...all the best Mother Confessor
Hahaha Rebecca wangu ahsante jamanii,.Mungu ni mwema niko na mgahawa sasa karibu mnoo...
Happy New Year,.
Nisaidie kazi mkuu hapo mgahawani kwako. Nipo silias. Malipo tutaelewana, sichagui kazi.Hahaha Rebecca wangu ahsante jamanii,.Mungu ni mwema niko na mgahawa sasa karibu mnoo...
Happy New Year,.