Nahitaji samli ya ng'ombe

Nahitaji samli ya ng'ombe

JAMBONIA LTD

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
584
Reaction score
276
Habari wadau natafuta walau chupa moja ya samli ya ng'ombe orijinal..anayejua wap au vp ntapata? Nipo Dar
 
Nenda soko la Kkoo karibu na soko la Nazi utakuta ya kiasi unachotaka
 
Ndio ipoje hiyo samli? Na kazi yake ni nini? Maana huwa naisikia tu.
 
Mafuta yatokanayo na maziwa ya ngombe,ni sawa na mafuta mengine
 
Mbulu huko kuna wataalam wa hiyo samli
Kwa kupikia chapati ni bomba sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom