kiumbempole
JF-Expert Member
- Jan 15, 2016
- 700
- 1,186
Umuofia kwenu wadau wangu wa JF.
Nimemaliza kidato cha sita mwaka huu shule fulani Mpanda mkoani Katavi.
Sasa nauli ya kufika huko kufuata result slip kwa sasa nimekwama, sina.
Niko Moro. Nimepata wazo, hivi inawezekana kupata hiyo hati ya matokeo pale NECTA Dar nikienda mwenyewe?
Naona kama inakuwa nafuu kidogo.