Nahitaji redio ya sony au kenwood mpya

Nahitaji redio ya sony au kenwood mpya

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Posts
1,497
Reaction score
606
Jamani nauliza kama naweza kupata redio yenye CD tatu,na iwe na uwezo wa kusoma USB kwa bei ya 350000 Tsh,haraka sana
 
lol,ni utani,joke,udaku ,tetesi au ni nini ?nadhani umebaka venue bro.
 
lol,ni utani,joke,udaku ,tetesi au ni nini ?nadhani umebaka venue bro.
 
Mimi ninayo ila bei yake ni 250000. Kutokana na kwamba wewe unayoitafuta ni ya 350000 basi hii ya kwangu ntaendelea kumtafuta mteja mwingine.
 
Back
Top Bottom