Mkuu ishi kwa uwezo wako, mbwembwe gharama!
Uwezo wake ni pamoja na kutokuwa na hiyo Range Sports.kwani amekwambia uwezo wake ??
Mkuu ishi kwa uwezo wako, mbwembwe gharama!
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.
Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.
Mwenye gari ani pm then aweke na bei.
Mkuu ishi kwa uwezo wako, mbwembwe gharama!
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi
Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.
Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.
Mwenye gari ani pm then aweke na bei.
pamoja nakutaka kujua bajeti yao...umenichefua na huo mu-avatar wako!!Budget yenu ni bei gani? Maximum or minimum
Waimba taarabu utawajua tu
Wadau, natafuta range rover sport ya kukodisha kwenye harusi siku ya jumapili tarehe 14/12. Gari itapambiwa school of law karibu na kituo kipya cha daladala cha ubungo then itaenda kumchukua bibi harusi Sinza Africa sana then itaenda kanisani Magomeni Mwembechai then itaenda EPZA Ubungo external then itaenda ukumbini school of law karibu na kituo kipya cha daladala ubungo.
Baada ya harusi kuisha gari itawapeleka maharusi city style hotel takribani mita 500 kutoka ukumbini.
Mwenye gari ani pm then aweke na bei.
Utakuwa una matatizo, hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua hiyo gari halafu aje akodishe kwako siku ya harusi, huo ni umburula uliopitiliza! Mimi nina Toyota Landcruiser 200 (GXR) ya mwaka 12/2013 na kamwe siwezi kuikodisha kwa maana kama mkigonga hiyo gharama ya kuitengeneza ni sawa na harusi yako yote pmj na sendoff!
Ha ha ha !!Utakuwa una matatizo, hakuna mtu mwenye uwezo wa kununua hiyo gari halafu aje akodishe kwako siku ya harusi, huo ni umburula uliopitiliza! Mimi nina Toyota Landcruiser 200 (GXR) ya mwaka 12/2013 na kamwe siwezi kuikodisha kwa maana kama mkigonga hiyo gharama ya kuitengeneza ni sawa na harusi yako yote pmj na sendoff!
Acha mbwembwe wewe!! Uliiba nini ukapata hio gari??? Kwani hujakata insuarance ya gari yako!