Nahitaji rafiki wa kiume

Nahitaji rafiki wa kiume

makenze

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
356
Reaction score
217
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke
napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi
ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI
VIGEZO NIMTAKAE
1.above 28
2.single
3.awe anafanya kazi,(Kujiajiri/kuajiriwa)
4.awe anapenda vitu vya kisasa kwenye entertaimant sijui niiwekeje(SITAKI MKOLONI)
nb:just a friend
 
Pole sasa itakuwaje mbona masharti magumu mm nina mke vp nitapata nafasi au legeza masharti utawagawa wengi sana marafiki wenye wake
 
makenze hangout wit me, I'm single and looking. PM and lets get it on
 
Last edited by a moderator:
Nipunguzie kidogo umri, watanzania tumezoea kupunguziwa kila kitu. Utanipata mm endapo tu: usipende kutizama series, movies za mapenz mapenz, usipende kushnda whatsap/fb/histogram, usiwe na tabia za kichuo chuo, vimini skirt piga kele, manyewe ya kichina toa (i.e, nyoa nywele au suka twende kilioni), shughuri zikiisha twenzetu kwa kanisa, ila shusha miaka japo kidogo ikiwezekana anzia na 26+ < X
 
Urafiki tu masharti yote hayo je uchumba

Well said mkuu.... ndio maneno yao vibinti vilivyo pevuka karibuni ha a ha ha ha ha..... ndoa ngumu wataishia kujinadi na kujitembeza tu
Shut your f*ck up Bitch....
 
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke
napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi
ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI
VIGEZO NIMTAKAE
1.above 28
2.single
3.awe anafanya kazi,(Kujiajiri/kuajiriwa)
4.awe anapenda vitu vya kisasa kwenye entertaimant sijui niiwekeje(SITAKI MKOLONI)
nb:just a friend

Sasa km unamhitaji kwa urafiki pekee . Kigezo cha kuoa kinaingia je?
 
Awap! We uxjing'ateng'ate xem tu unatafuta mchumba, xio oohh! Lafki, duu Dada zetu mna mambo nyiiiee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom