Nahitaji rafiki wa kiume

Nahitaji rafiki wa kiume

nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke
napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi
ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI
VIGEZO NIMTAKAE
1.above 28
2.single
3.awe anafanya kazi,(Kujiajiri/kuajiriwa)
4.awe anapenda vitu vya kisasa kwenye entertaimant sijui niiwekeje(SITAKI MKOLONI)
nb:just a friend

Mimi natosha vigezo vyote kasoro hapo no 1, ila sijui wewe uko ndani ya nchi au nje, maana kama rafiki sharti twende sehemu mbalimbali pamoja Kikazi na kistarehe
 
hahaha kumbe mdada upo, ila naona hujaweka vigezo vyako vyooote, au siku hizi umeshajielewa!!?

itakuwa vyema ukitaja vyoote kuwa awe na nyumba, gari na assets nyinginezo
 
eka picha kwanza maana kama mpaka umekuja jukwani apa kuna kitu behind
just saying tu
 
Yaani una mid 20's bado unaota urafiki? huna hata aibu kuendelea kutumika tu alafu uje kumpelekea mmeo kasha tupu?
 
Makofili anakufaa kabsa...a.k.a mzee wa push up!! Tena Kama wee ni mzaramo ushapata...
 
Nipunguzie kidogo umri, watanzania tumezoea kupunguziwa kila kitu. Utanipata mm endapo tu: usipende kutizama series, movies za mapenz mapenz, usipende kushnda whatsap/fb/histogram, usiwe na tabia za kichuo chuo, vimini skirt piga kele, manyewe ya kichina toa (i.e, nyoa nywele au suka twende kilioni), shughuri zikiisha twenzetu kwa kanisa, ila shusha miaka japo kidogo ikiwezekana anzia na 26+ < X

hahahahahahah,mkuu we ni tatizooo...Eti asiwe histogram au sio?
 
nimejiajiri,niko mid 20's mwanamke
napenda kufanya mazoezi ya ni mwemmba kiasi
ninamtafuta kwa ajili ya kuwa marafiki tu SIO WAPENZI
VIGEZO NIMTAKAE
1.above 28
2.single
3.awe anafanya kazi,(Kujiajiri/kuajiriwa)
4.awe anapenda vitu vya kisasa kwenye entertaimant sijui niiwekeje(SITAKI MKOLONI)
nb:just a friend

Yaan wewe kama umekosa friends hapo ulipo..na sehemu ulipojiajiri unamatatizo, and maybe your not friendly...halafu friends unapata kwa kublend in with different kind of peoples...sasa kama ni friendship only hiyo qualification ya usingle ina utata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom