Nahitaji radio ya mtumba

Nahitaji radio ya mtumba

Hiyo hapo nyengine kwa laki 4, Sony original ya mjapan, inapiga CD 3.
 

Attachments

  • 1408424715464.jpg
    1408424715464.jpg
    41.1 KB · Views: 296
Nenda uchumi kuna sony mpya kwa 230,000,ina dvd,redio na spiaker lakini sio home theater.
 
Zanzibar sing sung home theatre wanauza laki 3.5, Sony 4k
 
Nenda uchumi kuna sony mpya kwa 230,000,ina dvd,redio na spiaker lakini sio home theater.

Usimchuuze mwenzako aende kuuziwa mchina siku mbili tatu spika inakoroma utafikiri redio ya miaka 80 kumbe mpya, huwezi kupata sony ya DVD original kwa 230,000, utaliwa vipesa vyako bure, mjini hapa. Ukiachana na mjapan mwanzilishi wa redio nzuri kabisa, sasa hivi wanaokuja kwa kasi ni Malaysia na vitu vya vya uhakika, ukithubutu kuingia kwa mchina ujue umeliwa, tafuta mtu umpe jumba bovu.
 
Kupenda rahisi inaumiza ndugu zangu, ni bora ujichange uchukue kitu kizuri kuliko kupenda dezo ambayo itakugharimu.
 
Usimchuuze mwenzako aende kuuziwa mchina siku mbili tatu spika inakoroma utafikiri redio ya miaka 80 kumbe mpya, huwezi kupata sony ya DVD original kwa 230,000, utaliwa vipesa vyako bure, mjini hapa. Ukiachana na mjapan mwanzilishi wa redio nzuri kabisa, sasa hivi wanaokuja kwa kasi ni Malaysia na vitu vya vya uhakika, ukithubutu kuingia kwa mchina ujue umeliwa, tafuta mtu umpe jumba bovu.
Malaysia ndio kawa Licenced na Sony kuzalisha bidhaa zake halisi, so ukiona Sony made in Malaysia ndio zile zenye quality ya Japan. Made in China ni copy! Be alert guys.
 
Back
Top Bottom