Nahitaji printer

Nahitaji printer

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,081
Wakuu hamjamboni?

Mwenzenu nina hitaji la kununua Printer.

Printer ninayohitaji ni ile ambayo pamoja na shughuli nyingine za kawaida itaweza Kuprint vipeperushi vya wagombea mbali mbali wakati wa uchaguzi mwezi wa 10.

Si mnajua neema ya uchaguzi iko karibu? Mwenye good idea na printer iliyo nzuri na economical anipe ushauri.

Nasubiri jibu. Pamoja sana.
 
Mungu wangu, yaana hakuna hata jibu moja?!
 
Back
Top Bottom