jose majey
Member
- Aug 23, 2015
- 12
- 3
Habarini wandugu!!!
kama nilivyoandika kwenye title! Nahitaji printer inayo weza tumika kwaajili ya biashara
printers iwe vigezo vifuatavyo
1 iwe laserjet printer
2 iwe colored
3 iwe na uwezo wa kuprint karatasi yenye grammate kubwa aina ya silk, mate na Glossy pia na karatasi za kawaida
4 iwe nzima inayo fanya kazi vizuri
5 isiwe ya kufanyiwa matengenezo mengi au mara kwa mara
naomba detail za printa ziwe humu humu kwny thread, pm ni kuelewana bei tu
pia picha ya printa ni muhimu kama utakuwa nayo
location nipo Tanga ila popote ulipo tuwasiliane