Jongwe
JF-Expert Member
- Apr 25, 2008
- 1,040
- 662
Gari langu PRADO II steering imekuwa ngumu sana kukata kona, fundi amekukuruka akashindikana na kunifahamisha kifaa kiitwacho steering power kimefikia tamati ya kazi yake kinahitajika kubadirishwa. Hivyo basi kwa ambae anacho tafadhari nijuze kwa PM mahali ulipo na bei yake.
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.