Nahitaji Play Station 4 ya kununua

Nahitaji Play Station 4 ya kununua

Hakuna ps4 used ya bei hiyo, bora anunue online, atapata kuanzia $250 au achukue ps 4 pro kabisa kwa bei ya $360.
Babaa mimi nauza ps4 pro na ni mpya mzee na nagames zake kama upo serious bei hio ukitaka chukua contact njoo whats app 0689800817
 
Ni sehemu gani nilisema nataka ps4 mpya?

Umesema unataka PS4 mzee....wote wenye PS4 za umri mbalimbali watakupa offer zao...na mimi nikatoa offer yangu...

Na kua makini,PS zingine zipo locked hazifanyi kazi nchi zetu....kumbuka ma-CD yanapitwa na wakati,sasa hivi ni kucheza online na players wenzio,sasa ukute PS4 yako ipo locked uone kama utaona ndani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom