Nahitaji Play Station 4 ya kununua

Nahitaji Play Station 4 ya kununua

Umesema unataka PS4 mzee....wote wenye PS4 za umri mbalimbali watakupa offer zao...na mimi nikatoa offer yangu...

Na kua makini,PS zingine zipo locked hazifanyi kazi nchi zetu....kumbuka ma-CD yanapitwa na wakati,sasa hivi ni kucheza online na players wenzio,sasa ukute PS4 yako ipo locked uone kama utaona ndani!
finally nashukuru kwa elimu
 
Hiyo ni bei ya PS4 Pro na sio PS4 plain.

Yangu ni full loaded Pro,inasapoti 4K..na kuna pre-loaded Batman....and two pairs of wireless controllers..Ina boost mode enhancement..

Hata kama PS4 ya kawaida utaipata kwa 300USD kuja mpaka bongo ni roughly twice the FOB price,tuseme inakua 600USD..hiyo ni nearly 1.5mil ....haya madude sio bei rahisi sana.
 
Mzee hizi bei zako unazitolea wapi wakati kwenye website ya PS hakuna bei kama hizo?
 
Mzee hizi bei zako unazitolea wapi wakati kwenye website ya PS hakuna bei kama hizo?

Mzee,tuko huku mavumbini,huwezi nunua PS4 kwenye original website ya Sony,wata-reject CC yako,hawauzi kwenye region hii..

Pakununulia ni Ebay au Amazon..bei niliyotoa hapo ya PS4 ya 300USD ni ya Ebay tu,ndio nika-calculate mpaka inafika Tanzania jumla itakua 600USD...sasa sijui hujanielewa wapi ndugu yangu?

Na upo Tanzania,unaenda kuangalia official price kwenye official Sony page as if unaweza kununua wakati huruhusiwi..Pona yetu ni hizi third-party sellers na uhakikishe kua wamei-unlock kabisa!

Peace!
 
Screenshot_2018-06-06-12-55-36.png
FORTALEZA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom