makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,930
- 104,250
Chief kila moja anauza 850pamoja
Chief kila moja anauza 850pamoja
Ebu nipe tofauti ya slim na pro?Hakuna ps4 used ya bei hiyo, bora anunue online, atapata kuanzia $250 au achukue ps 4 pro kabisa kwa bei ya $360.
hapunguzi walau kidogo?Chief kila moja anauza 850
duuuhEbu nipe tofauti ya slim na pro?
Na Mimi nataka kutafuta PS 3.tatizo ushamba wa haya mambo.
Hapunguzi mkuu, labda nikuwekee na screenshot ya tulivyokuwa tunachat baina yetu!!hapunguzi walau kidogo?
nope, nakuamini mkuu. basi ngoja niendelee kuongeza huu mpunga, nitakucheki mambo yakikaa sawa mkuu.Hapunguzi mkuu, labda nikuwekee na screenshot ya tulivyokuwa tunachat baina yetu!!
Poa, poa mkuu.nope, nakuamini mkuu. basi ngoja niendelee kuongeza huu mpunga, nitakucheki mambo yakikaa sawa mkuu.
250?300 boss kwa ww
Njoo pm250?
Nitumie weweNjoo pm
OkNitumie wewe
Mwenye PS4 ambayo ni nzima kabisa naomba aje aniuzie, iwe bei nzuri. Karibuni.
Weka bei hapa hapa
Weka bei hapa hapa
Zipo ps4 nyingi .Mwenye PS4 ambayo ni nzima kabisa naomba aje aniuzie, iwe bei nzuri. Karibuni.