Naitwa device frabius mkazi wa Dar es Salaam Mikocheni natafuta pikipiki mpya iliyosimama kwa mkataba
Kwa siku 10,000/= ikiwa boxer itapendeza zaidi, nahitaji kwasababu ya Bolt.

Hamna hesabu ya elfu kumi sasahvi.
Mambo ya kizamani kanunue au kakope yako.
Hao watu wanataka hesababu ya 13500 kwa siku, kianzio laki mbili na nusu.
Alafu individual person akupe kwa elfu kumi kwa siku, labda pikipiki iliyomaliza mwaka.
Rekebisha ombi lako. Upewe kazi
Reputation ya watu credit upande wa kukopesha piki piki ni mbovu, mkataba ukikaribia kuisha ama ukiisha kuna uwezekano mkubwa wa piki piki kuibiwa na hao hao.