Nahitaji piki piki Kama hii hapo chini

Nahitaji piki piki Kama hii hapo chini

tetestaly

Senior Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
126
Reaction score
59
1479199075112.png
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Mkuu ukiipata nijulishe mimi pia naihitaji iyo
 
Yeah najua ila nikuwa nahitaji km naweza pata zile used kwa hapa TZ
Kuna jamaa yangu anaitwa kaduvuda anazileta n'a kuzishushia zenji....n'a anazileta dar...anazo
Anauza 5.5 tena módel mpya ya hiyo yako..

OVA
 
Kuna jamaa yangu anaitwa kaduvuda anazileta n'a kuzishushia zenji....n'a anazileta dar...anazo
Anauza 5.5 tena módel mpya ya hiyo yako..

OVA
Mimi sitaki new model hiyo maana najua ni garama kubwa Sana, Mimi nataka old model 2014 nimesikia zinauza million million 2.8 ,VP huyo Ndugu yako anaweza kutusaidia tupate hiyo old model?
 
Mimi sitaki new model hiyo maana najua ni garama kubwa Sana, Mimi nataka old model 2014 nimesikia zinauza million million 2.8 ,VP huyo Ndugu yako anaweza kutusaidia tupate hiyo old model?
Unapata ndiyo....huyo ni muuzaji wa pikipiki Aina zote...Ila hiyo utapata ni used ntaku pm namba yangu alafu nku Link naye

OVA
 
Back
Top Bottom