Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Nahitaji pc ya kazi used core i7, ram 16-32,

Imole

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2021
Posts
1,546
Reaction score
4,325
Wakuu habari za wakati huu, mwaka mpya unaingia nimrjipanga nianze kufanya issues za Interior Designing mambo ya sketchup so nahitaji pc yenye specs kama hizo hapo chini.

Intel Core i7/i9 or AMD Ryzen 7/9 series), at least 16-32GB of RAM (, a dedicated graphics card with at least 4GB of VRAM (NVIDIA GeForce RTX series.
 
Wazee wa gaming wame chekelea kishenzi
Kuna LOQ Lenovo.. RAM 32 na udambwi dambwi wake.. for entry level

C.c Imole
PXL_20260101_074809537.PORTRAIT~2.jpg
 
Back
Top Bottom