Nahitaji Passo au Vits ya mkononi

bobby dolat

Senior Member
May 18, 2015
167
263
Wadau amani iwe kwenu

Nahitaji kumnunulia shemeji yenu gari hata kama ni ya kumvua mtu, budget yangu ni ndogo ndio maana nahitaji ya mkononi

Nahitaji passo au vits au swift au toyota ist, hivyo yeyote mwenye gari ya namna hiyo aliechoshwa na gari yake kwa sababu yeyote ile aje inbox

Nb
Sihitaji madalali, nimeshasumbuka nao sana kila gari wanayoleta ni kikohozi, na pia sitaki kutoa commission nina hela kamili, hivyo nahitaji wana jf wenye kutaka kuuza gari wenyewe

Pls naomba mniokoe na hili jinamizi la majambazi wa mapenzi hapa mtaani wenye kuchota my wife kupitia gari
 
Wala usipate taaabu ya kutafuta gari huku kwa wana jamii, nenda moja kwa moja Kupatana.com uchague gari ya uwezo wako kisha wasiliana na muuzaji kisha kaione na ulipie ukiipenda. Hapo hakuna dalali wala kuibiwa. Sawaaaaaa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom