Nahitaji partnership wa biashara ya futari Dodoma.

milionea wa kesho

JF-Expert Member
Dec 28, 2015
328
631
siwezi ku-reveal particulars zangu zote hapa. mambo mengine tutaongea PM. Hii ni kwa mtu aliye serious tu.

Habari wakuu.

Nina kimgahawa changu kadogo maeneo ya dodoma mjini kuna movement kubwa Y watu.


kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani nimepanga kupika futari kwa ajili ya kufuturu.

Nina mpishi wa kimataifa, akikupikia lazima kesho urudi yaan unaweza kutoka singida ukafuata chakula dodoma.


mgahawa haupo kwenye location nzuri sana ila una kila kitu.

Natafuta partner tupige hela. hapa jirani kuna eneo la wazi tunaweza tukaweka turubai fulani hivi za kisasa mazingira safi tunakua tunaandaa futari...wakati wa mchana tunapika chakula kwa ajili ya watu wengine.

Nahitaji mtu atakayeweza kutoa 1.2M tuunganishe nguvu. This idea is bright, naomba mtu aliye serious anicheki PM tuanze kazi haraka iwezekanavyo.


Akinicheki tunaonana kabisa kwanza mgahawan kwangu nimpe mchongo mzima.


wafanyakazi wasafi na smart ninao tayari.
 
Good idea, kuna mama anapigaga pesa vibaya kipindi hiki aisee chapati, maandazi, viazi, tambi, ndizi, samaki nk kibaoo...vyote vinaisha aisee mama anapika yule leo hapa nasubiri muda ufike tukafuturu kwake nimeona kashaweka meza.

Mkuu wazo safi hapa kuna watu nimeona wametengeneza sehemu wamezungusha turubai wameweka level juu bonge la bango wameandika '...futari', mzee mpaka nawaonea donge watagonga pesa hawa watu, ningeungana nawe ila iyo pesa imenito knockout.
 
Duuh kwa hapo dodoma town mbona unaeza uza tu ukiweza kutengeneza futari la viazi, mhogo, tambi, nyama, pamoja na uji au chai mida ya jioni still uta make, upo wapi wapi town... Kama upo barabara za namba au chakonichako, makole ya chini bado unaeza make dooo..... kikubwa Bei zako ziwe ado ado siyo zile za kisuperstaa
 
maeneo ya sokon ndo nipo
Duuh kwa hapo dodoma town mbona unaeza uza tu ukiweza kutengeneza futari la viazi, mhogo, tambi, nyama, pamoja na uji au chai mida ya jioni still uta make, upo wapi wapi town... Kama upo barabara za namba au chakonichako, makole ya chini bado unaeza make dooo..... kikubwa Bei zako ziwe ado ado siyo zile za kisuperstaa
 
maeneo ya sokon ndo nipo
Na pale wanaclose around saa moja amna watu..... Kuanzia pale stand ya saba saba nenda mpaka LPF njoo huku corner mpaka uhindini kunakuwaga giza..... Watu usiku wako chako Ni chako, makole na kule mitaa ya mwanga bar..... daaah nitaimiss dodoma na fursa zilizopo, nikirudi kama mungu akipenda nitawekeza kwenye ujenzi tu na vifaa ujenzi.....
 
Unge partner na mtu sehemu nilizotaja ili uuze futari kipindi hiki, mfano chako Ni chako maeneo ya barabara za namba au ukikosa nenda maili mbili mipango palipo changamka.
 
Biashara ya kuunganisha nguvu inahitaji mtu unayemjua vizuri ,mwaminifu na mnayeelewana sana yani inakuwaga ni shida sana
 
Hiyo 1.4 let's say zimebaki siku 25 mwezi uishe maana yake kwa siku anatakiwa apate sio chini ya elfu 48 kama sehemu ya mtaji wake, bado faida yake, bado faida yako, bado mishahara, bado expenses nyingine, mind you ndio biashara mpya mmeanza.

Sipo interested na hayo mambo lakini nimejaribu tu kuwaza.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom