Nahitaji paka mweupe


kancher

kancher

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2015
Messages
377
Likes
270
Points
80
kancher

kancher

JF-Expert Member
Joined Dec 19, 2015
377 270 80
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nahitaji paka mwepe asiye na doa la rangi yeyote ile. Kama unaye au ukanipa connection ya kuweza kumpata tuwasiliane kupitia simu no:


Kwa wakazi wa Dar.. Ili iwe rahisi usafiri ktj kufanya biashara.
 
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2015
Messages
1,566
Likes
1,303
Points
280
robert sendabishaka

robert sendabishaka

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2015
1,566 1,303 280
fursa kwa anko Mshana jr!
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
32,913
Likes
15,514
Points
280
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
32,913 15,514 280
Kwann wazo lako la kwanza limeangukia kwenye ushirikina.!?
Ni Kama Njiwa Manga(Mweupe tupu) au Fungo(Mweusi tii) wanatumika kwenye ushirikina.
 
dawa yenu

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
2,328
Likes
1,601
Points
280
dawa yenu

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
2,328 1,601 280
ukipata wawili naomba unipe mmoja, paka weupe ni wazuri sana, ukiwafuga wanapendezesha nyumba halafu nyumba inakuwa na utulivu mkubwa.... mkuu ukipata na njiwa mweusi naomba unipatie pia jogoo mweusi... hawa wanyama kwa kweli ni muhimu kuwa nao nyumbani kwa matumiz mbali mbali hada inapotokea dharura pale jirani anapojifanya kila siku anapika nyama kudadeki ukiona tu paka kalia nyaaaaaaauuuuu.... jirani tunamsahau
 
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2007
Messages
23,783
Likes
27,986
Points
280
N

NAKWEDE

JF-Expert Member
Joined Aug 1, 2007
23,783 27,986 280
Mshana jr kuja kipande hii
 

Forum statistics

Threads 1,275,066
Members 490,894
Posts 30,531,990