Nahitaji packages za spices (viungo vya chakula) Arusha

Nahitaji packages za spices (viungo vya chakula) Arusha

MSHARI

Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
32
Reaction score
15
Habari wadau,

Nataka kufanya biashara ya spices mbalimbali za chakula, kama hiliki, mdalasini nilikuwa naomba mnijuze wapi ntapata packages za vikopo vidogo hata kama ni Dar.

Ahsanteni.
 
Watanzania tunalalamika njaa,ila mwenye mtaji wa kuwekeza kwenye biashara hii inalipa.

Hembu sema uwezo wako wa kuchukua,ni kg ngapi kwa kila aina.
 
Nenda A to Z ya Unga Ltd. walikuwa wanatengeneza package tofauti za plastic kipindi fulani.
 
Watanzania tunalalamika njaa,ila mwenye mtaji wa kuwekeza kwenye biashara hii inalipa.

Hembu sema uwezo wako wa kuchukua,ni kg ngapi kwa kila aina.

Mkuu ebu toa ufafanuzi kidogo hizo package zinauzwa wapi? Na kwa mtindo upi? Mimi nataka nianze mwakani hii biashara kama vipi nipe mawasiliano nikutafute. Nataka nipack mchai chai na pilipili manga etc
 
Back
Top Bottom