Naitafuta sana nyimbo hiyo...naweza nikaipata nime google nimekosapoa kijana nshaipata..asante sana
Umefanikiwa kuipata hiyo nyimbo ya emanuel maana naitafuta nimeikosa mpaka muda huumambo vp wadau?tafadhali mwenye wimbo wa emmanuel nkulila'pain in me'na wa luther vandross'hearts get broken all the time'anisaidie tafadhali
Thanks...God bless you