Nahitaji nanasi nusu kontena, haraka..!!

Nahitaji nanasi nusu kontena, haraka..!!

Brian Spilner

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
2,123
Reaction score
6,207
Nahitaji kabla ya weekend niwe nimeshapata. Muda huu nipo njiani kwenda kiwangwa. Nimeelekezwa kua ndio shambani huko, nikanunue kwa mkulima. Napokea direction za ziada.

Pia kama kuna kampuni inauza kwa jumla tuwasiliane immediately.

Kama wewe ni dalali, tafadhali usibadilishe bei ya bidhaa. Weka gharama yako ya huduma ya udalali separately, ikiwa ndani ya uwezo, nitatumia huduma yako.
 
Kontena la size gani? Contena zinatofautiana ukubwa ni Bora ungesema unahitaji nanasi 2000 au 3000 nk msimu wa nanasi ndo huu maelezo yako hayajitoshelezi na wakati huo huo umesema upo njiani kuyafuata kiwangwa....!
 
Kuna baadhi ya koment nashindwa hata nijibu kitu gani. Mnafanya thinking yetu wabongo kuonenaka dhaifu. Yani hayo maelezo nayo unayatafutia dosari?

Ivi kweli, mtu una nanasi au ni dalali unaejua zilipo, unashindwa kuuza kisa tu sijasema nataka nanasi 10 au 27..!!? Kisa tu sijasema kama kontena ni 40ft au 20tf..!!?
Tunadhoofisha sana akili zetu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom