Nahitaji Mwenza

Nahitaji Mwenza

Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
Hii mechi sio fair kabisa! Kabla ya kuanza tayari 2 - 0
 
Miaka 32 lakini bado unachagua muonekano!! Una safari ndefu sanaaa🤸
Siyo vizuri kumwambia hivi mwanamke mwenzio.

Una kiherehere sana. Subiri tu JF hii hii itakunyosha!
 
Habari ya muda huu Mimi ni mwanamke mwenye miaka 32, ninahitaji mwanaume wa kuwa nae katika mahusiano tukielewana tufunge pingu za maisha.
Sifa zangu ni
  • Mweusi
  • Mkristo
  • Ninafanya bihashara
  • Nina watoto 2
  • Naishi dar es salaam.

SIFA ZA MWANAUME.
  • Rangi yoyote
  • Awe mrefu, asiwe na kitambi
  • Kabila lolote
  • Awe na shughuli inayomuingizia kipato
  • Awe na miaka 32 na kuendelea.
  • Awe mkristo
  • Awe na mtoto au asiwe na mtoto sawa.
  • Awe mkoa wowote kasoro Moshi.
ASANTENI mnakaribishwa pm..
Ok
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom