nahitaji mwenyeji,am kinda new in here

nahitaji mwenyeji,am kinda new in here

Mkazuzu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2008
Posts
449
Reaction score
559
natarajia kindness kutoka kwenu wana forum
 
Kama nakuona hivi !
Hapo umepigilia suti au umeshuka na mitenge ya waxii ? Niko kwa mbali sioni vema atii !
 
Sema basii wee ni wakike au wakiume!?
 
Weka picha basi, mimi mambo ya kukaribishaga jitu sijaliona yalishanikuta
 
Back
Top Bottom