Watu wazima tunahitaji watu wazima pia sio miaka 24 halafu tuongee nini na wewe??? yaani tukifuatana njiani kila mtu anajua nina CHANGU....lol tafuta watoto wenzako
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.
Chagua jibu sahihi: Gharama za hizo bata,
(i). Unalipa wewe
(ii). Analipa huyo mwanaume
(iii). Mnachangia pasu kwa pasu
inakuhusu ikiwa ya fb, ikiwa ya twitter ni yangu
unajua maana yalove connect au unaleta shobo tu hapa
sasa mie nashangaa mtu kaleta anachoitaji na wewe unaona haikuhusu kwa nini umuhukumu? kila mtu ana namna yake ya kuishi sometime watu wanaitaji kampani za kawaida tu kutoka nao weekends ili kufurahi..tujifunze kuheshimu wenzetu ata kwa tusichopenda..