Nahitaji mwanaume wa kula ne bata tu!!!!!!

kwani nawe unataka? idadi inakuhusu nini? ishia zako
khee, idadi haihusu...??? Kwa hiyo mtungo unahusika..??? We miaka 24 huogopi idadi...??? Kwa taarifa yako, umalaya si idadi ya mabao uliyochabangwa, bali idadi ya wanaume waliokuchabanga mabao hayo... Kwa mfano, Kama bao 10 mwanaume mmoja, si umalaya, ila kama bao 10 wanaume kumi, huo umalaya
 
mwenzenu kachinja bata anashindwa kula mwenyewe jamani kamsaidieni
 
aliesema jamvi limeingiliwa na fb hajakosea ____ modes mko wapi mnashindwa kufikiri nyuzi za kudisplay ubaoni jamani mnawaruhusu hawa fb watoe uhalisia wa jf

unajua maana ya love connect, kiherehere chako kiondoe hapa
 
24 years umechoka? We utakuwa kiboko wanaume wa humu ndani utawaua bureeeeeee bila hatia.

ntaanza kumuua mshua wako kabla sijaua wengine, hapa ni love connect toa umbea
 
Nahitaji mwanaume wa kula nae bata za dunia, sihitaji commitment mapenzi yashanichosha, nishaumia sana. naomba kueleweka sihitaji mvulana ila mwanaume....walio serious tu tuwasiliane.
Umri wangu ni miaka 24, mjasiriamali.
Ahsanteni.
Huyo bata bata gani bata mzinga au?kashachinjwa,kunyonyolewa
 

konokono toka mbele angu, pesa nnayo sihitaji buzi
 
User Name: Le' baby

User Title: Member

Last Activity: 27th June 2013 15:13

Tangu ulipopost maombi yako haya hujarudi kumchukua bata wako, je utampata kweli?

Mie nakula mwewe zaidi kama uko poa njoo uwajaribu, maana bata sina!

nilikuwa bize na pirika za maisha mi ni mjasiria mali
 
Kweli wewe mjasiriamali.....i can see.
 
Umemsahau Mungu wako bint yangu......Hujui mwili wako ni hekalu la Allahh...

pepo shindwa na utokomee unajua maana ya kula bata?
umeona nimeongea habari za mwili wangu wapi, unafiki wako utakupeleka motoni kazi kuwaza uzinzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…