Nahitaji mwanaume,umri 30-36

NSENGI

Member
Feb 15, 2013
29
18
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafiki yangu mpenzi mume wa maisha na katika maisha.

Awe mkristo, awe anajitambua kama mwanaume halisi, awe na mwili wa kawaida asiwe mwembamba, asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote mwanaume atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.
 
please sifa zako tafadhali
una umri gan
rangi yako?
urefu?
uzito?
una watoto?
ushawahi kuolewa?
kazi yako?
mara ya mwisho kupima hiv ni mwaka gani?
 
Shy land acha ukuda hayo maswali ya nini usha karibishwa Private, mwenzio napungukiwa sifa nimetulia japo naiona fursa
 
Haaa anatafuta breed itakayompa mtoto atakayecheza Basketball USA bana kama Hashim.
Mkuu wawezakaribia pia PM ukauliza na natumai utajibiwa kisha ukapata cha kueleza, si vema kuusemea moyo wa yeyote
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Hujataja wewe ulivyo,umri,elimu nk
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

ebu pm tuongee
 
Hujataja wewe ulivyo,umri,elimu nk upo moshi nini manaaakee mmmmh kuna mwenzie naye anatafuta mke wa kumlea hehehe but kama nakuja vile na Mimi unaninjuaa

Mkuu kwani kujuana hairuhusiwi? Hahahaa karibu PM tujuane vizuri sasa. Usiishie kubahatisha tuu.
 
Wewe lazima utakuwa wale ndugu zangu wa Mara......NAHITAJI MWANAUME POTI and over..
 
Mimi ni mdada wa kitanzania wa kikiristo, ninahitaji mwanaume atakaeweza kuwa rafikiyangu mpenzi(mume) wa maisha na katika maisha. Awe mkristo, Awe anajitambua kama mwanaume halisi, Awe na mwili wa kawaida(asiwe mwembamba), Asiwe mrefu chini ya 160cm. Kwa yeyote(mwanaume) atakaefikiri tunaweza kufaana karibu PM tafadhari.

Hivi Mbona Mashoga Nao Hawatuulizii Sisi WACHAMBISHAJI au WAZIBUAJI au WATAGISHAJI? au Wamechoka Na Maumivu Tunayopawaga? Wa Liberali Mpo??? Tuulizieni Bhana!
 
Urefu wote huo unatafuta mcheza basket?

Acha uoga wewe hiyo 160cm ni mtu mfupi sana ni kama urefu wa 5.2ft... So angesema walau anataka mtu mwenye urefu wa kuanzia 180cm hapo ingekuwa kikwazo kwa waTZ wengi maana wengi wao ni below 180cm(5'9ft)
 
Hizo sifa mnazozitaka ndizo zilizokufanya uje hapa kwenye keyboard kutafuta mwanaume wa kukuoa. Hivi unaolewa na sifa za nje au unaolewa na mwanaume anayekupenda kwa dhati. Ukiendekeza kutafuta mwanaume kwa kuweka vigezo hivyo utachemka na umri utaenda utabaki kuwa nung'ayembe mtaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom