Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
- Thread starter
- #21
No more stories....wanaoelewa haya mambo wamenielewa. Naona umekuja kuanzisha ligi ya maneno tu. Sitaki tufikie huko. AsanteKuna sababu gani za msingi za wewe kutafuta wanawake wakiyokuzidi umri?
Kuna sababu gani za msingi za wewe kutafuta mwanamke mtandaoni?
Kuna sababu gani za msingi za wewe kutafuta mwanamke wa kuzaa tu?
Kuna sababu gani za msingi usitafute mwanamke wa kuoa na uishi kwenye ndoa?
P.S. kwa majibu yako kwenye uzi huu....huyo mwanamke chamoto atakiona. Pengine ndiyo sababu ya kukosa mwanamke huko mtaani (kwasababu wanaifahamu tabia yako) unakimbilia kutafuta "wazee" mtandaoni.