Naomba unizalie mtoto nitakupa Usd 1000Sasa kama shida yako ni kuzaliwa mtoto masharti ya nini? Hata akiwa single mother wewe shida yako si ni mtoto?
Wenzako wanasemaga "nataka mtu anizalie mtoto , nitampa USD Kadhaa anizalie mtoto tuu". Haujui kuna watu hiyo ni biashara yao?
Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa.
USD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.Naomba unizalie mtoto nitakupa Usd 1000
Sasa hapo si ni bora nikuowe kabisa tuUSD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.
Nijengee nyumba, ninunulie gari, na unifungulie biashara maana sina kazi. Nitakuzalia mtoto na malezi ya mtoto na mama yatakuwa juu yako.[emoji13][emoji13][emoji13]
Wanaokuwa wanataka hivi ujue hawahitaji kuoa kwa sababu zao binafsi mkuu.Sasa hapo si ni bora nikuowe kabisa tu
Tutamfaa kwenye nini?
Sasa kama shida yako ni kuzaliwa mtoto masharti ya nini? Hata akiwa single mother wewe shida yako si ni mtoto?
Wenzako wanasemaga "nataka mtu anizalie mtoto , nitampa USD Kadhaa anizalie mtoto tuu". Haujui kuna watu hiyo ni biashara yao?
Au wewe labda useme unataka mpenzi atakayekubali kukuzalia ila hamtafunga ndoa, na awe na kazi maana wewe hauna hela[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Mtu unasubiriwa kujengewa nyumba na kununuliwa gari na kufunguliwa biashara ulikua wapi usisome ufanye hayo yote uje utegeshee mtu afanye hivyo kisa tu ameomba umzalie mtoto wanawake wa hivyo siwapendi katu na ndio wenye stress za kupewa nyumba na gari na biashara sitaki mtu mwenye stressUSD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.
Nijengee nyumba, ninunulie gari, na unifungulie biashara maana sina kazi. Nitakuzalia mtoto na malezi ya mtoto na mama yatakuwa juu yako.[emoji13][emoji13][emoji13]
Wivu sina ila roho inauma...USD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.
Nijengee nyumba, ninunulie gari, na unifungulie biashara maana sina kazi. Nitakuzalia mtoto na malezi ya mtoto na mama yatakuwa juu yako.[emoji13][emoji13][emoji13]
ha..haaa....haa...mbona nyingi kuliko mahali? mtoto akifa unarudisha?USD 1,000? Miezi tisa nitembee na kitambi? Hapana.
Nijengee nyumba, ninunulie gari, na unifungulie biashara maana sina kazi. Nitakuzalia mtoto na malezi ya mtoto na mama yatakuwa juu yako.[emoji13][emoji13][emoji13]
Kwa sisi wajanja tumeshagundua unatafuta mwanamke wa kukulea...Sababu ya kusema naitaj anayejishuhulisha ni kwamba SITAKI golikipa mimi...whatever the case nimesema hata akiwa single mother na anatamani kuzaa mtoto pia ni sawa tu ....kwa ambao wanafanya kama biashara imekula kwao hapa sio mahala pake waende kwingine..kama anasubiri usd kadhaa aende benki mimi sio benki..i have highlighted above kwamba nitamtunza yeye na mtoto.
Kikubwa naona umepanic. Hiyo post wala haikuhusu.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Mtu unasubiriwa kujengewa nyumba na kununuliwa gari na kufunguliwa biashara ulikua wapi usisome ufanye hayo yote uje utegeshee mtu afanye hivyo kisa tu ameomba umzalie mtoto wanawake wa hivyo siwapendi katu na ndio wenye stress za kupewa nyumba na gari na biashara sitaki mtu mwenye stress
Ni mfano tuu[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Wivu sina ila roho inauma...
Mkuu wa aina hio siwataki kuwasikia kabisa..mwanamke mwenye njaa zake simtaki ..mwanamke asiye na upendo simtaki, mwanamke gold digger simtaki, wa aina hio ni kama.ananiuzia mtoto ..ha..haaa....haa...mbona nyingi kuliko mahali? mtoto akifa unarudisha?
Mali ikienda kwa mganga hairudi.ha..haaa....haa...mbona nyingi kuliko mahali? mtoto akifa unarudisha?