Watuwekee Ufafanuzi Mfano HTMkuu ivi kwa room lipi ni chaguo sahihi kati ya sound bar na home thieter.
Kodtech 2913Kama una hio pesa nitafute nikupeleke ukaokote mashine ya Adabu. Uje kutoa ushuhuda humu
Punguzeni hasira wazee 😂Kodtech 2913
Punguzeni hasira wazee
Hahaha huyo jamaa atakuwa mtundu wa hivi vitu. Ni hatari sana huo mchanganyiko.Jana nilipita njia hii ya sanyajuu kule boma mitaa ya tanesco wanaunda unda miziki ya mikubwa kubwa , nilikuta mjomba mmoja anaitwa billy, ni anatumia speaker za gari mwanzo mwisho kuunda miziki, aloo nilikuta kafunga bass la kenwood ile single coil watts rms 400 na vimidrange vya pioneer halafu kaunga na powered mixer ya kawaida tu , aloo ile sound inayotoka pale sio poaaaaaaaaa mamaaeeeeee jamaa anajua kutune mziki balaa
Hahaha huyo jamaa atakuwa mtundu wa hivi vitu. Ni hatari sana huo mchanganyiko.
Kama kaishi Nairobi basi ndio maana ana ujuz mkubwa hivyoAlikuwa ameishi nairobi muda mrefu sana, na si unajua kule ndo wakali wa hyo mambo walipo
Hyo kashahamia kodtech mazimaExtrovert umewahi kukutana na subwoofer za VON? nina uhakika umekutana na mengi kwenye sound systems