Nahitaji mume

Nahitaji mume

Fifty fifty. Tangazo lako ni jema...ila kufikiri kwako juu ya dhana ya ubaguzi..ndio hafifu. Ni mtizamo wangu.

Mimi mwanaume, napenda kwa kuwa sijakuona, basi utambulisho wako uzingatie tabia, sifa na uwezo wako ukilinganisha na tabia, sifa na uwezo wa mume umtakaye.

Ukisema age yangu ni 29, elimu yangu ni diploma, urefu wangu ni cm 55 au cm 65 au cm 70, rangi yangu ni maji ya kunde/ black beauty/ natural white au artificial white, mwembamba/mnene, mwenyeji wa kaskazini au kusini, niliwahi kuolewa na kuachika, nimezaa ninae mtoto mmoja, au mimi ni single lady pure, nipo Dar/ Tunduru/ Moshi n.k

Ni mwajiriwa/ mjasiriamali, naisha kwa wazazi wangu/ walezi/ najitegemea. Side B" Nahitaji mume mkristo age 31--39, awe mwenyeji wa Sengerema, awe na shughuli halali impayo kipato, awe mrefu cm kati ya 31--100, awe na uzito kg's 50--130, chagua na rangi uitakayo....Na bila shaka ungependa awe anaishi na kufanya kazi mkoa uliopo wewe.

Nadhani ukiainisha hivi atakaye ku-PM, atakuwa interested. Na atahitaji tu kukuona na kujiridhisha juu ya maswali alonayo moyoni mwake. Wewe umetangaza, atakayejitokeza atakuja kuku-interview, akiridhika atakuuliza kama uko tayari kuambatana naye, ukikubali...utapokea maelekezo na muongozo kutoka kwake.

Usiporidhika atakuacha uendelee kusailiwa na wengine ilhali ukiendelea kuchagua kadri watakavojitokeza. Chagua nikuchague...

Nakutakia kila la kheri.
 
urefu kwako unaanzia futi.ngapi?, maana kila mtu ni mfupi kwa mtu mwengine au mrefu kwa mtu mwengine
 
kwa vigezo vyako hivo mtengeneze mwenyewe awe wa kwako
 
Urefu na ufupi wa mtu na Roman Catholic are the absolute wrong things unatafuta kwa mwanaume masikini ya Mungu, you have a long long way to go kuelewa watu na utu na tabia na ndoa na chemistry za binadamu.
 
1. Unaposema urefu unamaanisha futi ngapi hasa maana inawezekana mie nikawa na urefu wa ft5.2 na mwenzangu ukawa ni ft5 hapa mie ntaonekana ni mrefu kwako japokuwa kwa baadhi ya watu wengine ninaweza kuonekana mfupi sana.

Pia ninaweza kuwa nina ft6.1 na wewe mwenzangu ukawa na urefu wa 6.3ft. Hapa japokuwa ninaweza kuonekana mrefu sana kulinganisha na baadhi ya watu wengine kwako ntaonekana mfupi bado.

2. Umepima afya yako?

3. je, unataka wa kutoka kabila lolote?
 
Embu nicheki haraka nina sifa unazohitaji
 
wadada mbona hivyo lakini? Sijawahi kuona post ya mdada akimtafuta mwanaume mfupi. Nyie wabaguzi sana warefu warefu warefu kila siku na wafupi tusioe?
 
kwa vigezo vyako hivo mtengeneze mwenyewe awe wa kwako


acheni masihara jamani vigezo vya kawaida sana. ina maana wanaume wote wakiristo hamna mwenye sifa hizo, mrefu,awe na shughuli yoyote ,mkiristo mbona sasa ni hatarii
 
Marahaba Mkuu.. kwa heshima na taadhima umepatia swaha !! Kusema ukweli hata hii lugha kiswahili ni maneno ya kiarabu...sema lafudhi zetu ndiyo mparaganyo !!
najaribu kujifunika na mahasidi !!

Absolutely true. 40% ya lugha ya kiswahili ni maneno yamekopwa toka lugha ya kiarabu. Tofauti ni matamshi lakini sawa kabisa. Waarabu ndo walikuwa wa kwanza kuja huku Afrika ya Mashariki.
 
Absolutely true. 40% ya lugha ya kiswahili ni maneno yamekopwa toka lugha ya kiarabu. Tofauti ni matamshi lakini sawa kabisa. Waarabu ndo walikuwa wa kwanza kuja huku Afrika ya Mashariki.
Msema kweli upendwe na Mungu...
Ubrikiwe.... MARIGARIGA
 
urefu kwako unaanzia futi.ngapi?, maana kila mtu ni mfupi kwa mtu mwengine au mrefu kwa mtu mwengine

Hasheem Thabeet aliwahi kuwa mrefu kuliko watu wote pale MAKONGO SCH! lkn ameonekana ana kimo cha kawaida tu pale NBA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom