manking
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 1,306
- 316
Mimi binti mwenye umri wa miaka 24, elimu yangu ni ya shahada, dini muislam pia ni muajiriwa. Natafta mume mwenye vigezo vifuatavyo: awe muislam mwenye elimu ya dini na dunia, awe na shughuli ya kumuingizia uchumi inayoeleweka, umri kuanzia 28 mpaka 34, kabila lolote lile, mwenye fikra chanya, heshima, busara na maadili mazuri
Kumbe tz kuna ubaguzi(matabaka) wa(ya) kisirisiri leo nimejua kwani wasio kuwa na elimu, dini kutofautian, vipato, rangi n.k wasioane?. Mbona unaweza kupata vyote hivi ukanyimwa upendo? Anyway endelea kumsaka utampata.