Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

kila mwanachama zingatia kanuni zifuatazo uwapo jf

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2: usiri
kanuni ya 3: usiri
kanuni ya 4: usimwamini kila mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki lD zaidi ya 1

kila la heri mleta mada
mungu akutimizie hitaji lako
Aysee.. ila ukimiliki multiple ids zinabumburuka kirahisi tuu
 
Nimependa id yako 'open minded'.

I like open minded ladies... mara moja moja nakuomba ruhusa ya kuchepuka kubadilisha ladha na unaniruhusu kiroho safi. Ndoa inakuwa tamu mnoo.

-Kaveli-
 
Hiyo digrii unatoa ajira?Ungekua muwazi digrii zipo nyingi tu kama vile digrii za uzushi,majungu na fitna
 
Kwan degree ndo kitu gani
Kinanguvu kuliko hera
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom