Nahitaji Mume

Nahitaji Mume

Degree tena kwenye ndoa
Habari Wana Jf,

Mimi ni mwanamke wa miaka 32. Najitokeza kutafuta mwanaume matured kuanza naye mahusiano kuelekea ndoa. Nina amini mahusiano huanzia popote.

Awe

-Mkristo na awe na hofu ya Mungu.

- Mwenye Nia ya dhati na utayari wa mahusiano
-Umri kuanzia 32 -45 yrs

-Awe na shughuli halali ya kuingiza kipato elimu angalau degree moja.

-Muwazi na mkweli

Kwa upande Wangu
-Mimi ni mkristo

-Nina mtoto mmoja

-Nina shughuli ya kuniingizia kipato na elimu yangu ni degree moja

-Muwazi na mkweli

Aliye na Nia karibu PM .

Asante!
 
Digrii moja ???
 
Njoo pm

Awe na degree tena umesahau kuwa kusoma nikipaji 😂😂😂😂😂 kama wengine wanavigezo vyote wakakosa degree vipi wakuje inbox au 🏃🏃🏃🏃
 
kila mwanachama zingatia kanuni zifuatazo uwapo jf

kanuni ya 1 : usiri
kanuni ya 2: usiri
kanuni ya 3: usiri
kanuni ya 4: usimwamini kila mtu
kanuni ya 5: usiamini kila taarifa
kanuni ya 6: kuwa makini
kanuni ya 7: miliki lD zaidi ya 1

kila la heri mleta mada
mungu akutimizie hitaji lako
Wajumbe Wajumbe mna roho mbaya sana 🤣🤣
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom