Ndio kaka, binafsi mtu mfupi simtaki hata kumuona, maana wanaongea sanaaa, hawajiamini, ukiongozana nae mara akushike mkono, anaongea kwa sauti ili kila mtu awaone mnapita, mimi aiseee!! vishort mmhhmm!!!!!!!! bora kuexpire kwa kweli ila sio kuishi na mtu akisema tutoke unamwambia nenda tu. mwanamke mrefu raha awe giant fulani bhana!!
Wakati mwingine pesa inachangia.
Kama wanapendana vizuri
Mtu akiniambia niko selective na mshangaa kwani sjaona cha ajabu nimeandika hapo?
Mimi nina miaka 31 nimeomba mtu wa angalau age ya 35 and above; nikiacha open nitapata lunndle la serengeti boys
Elimu nimeweka japo Diploma, Kimsingi tofauti ya Elimu ilkwa kubwa sana hasa kwa mwanamke mwanamme hujihisi anadharauliwa...
Unajua sikuhisi na hiki kiswanglish...unaweza kupewa kesi ya kudharau ambayo hujakusudia...
Kama kuna chengine cha ajabu mtu aniambie ni rebishe...
Nao wengi wana sema ni pm??? kama wana sifa naomba wao wani pm please
Asante

Miaka hiyo yote ulikuwa wapi? Ina maana you are selective ndio maana bado hujapata wa kukuoa. You'll never find a guy with all those qualities in compact. Punguza la sivyo utaangaika old lady na hutompata.
Ndio kaka, binafsi mtu mfupi simtaki hata kumuona, maana wanaongea sanaaa, hawajiamini, ukiongozana nae mara akushike mkono, anaongea kwa sauti ili kila mtu awaone mnapita, mimi aiseee!! vishort mmhhmm!!!!!!!! bora kuexpire kwa kweli ila sio kuishi na mtu akisema tutoke unamwambia nenda tu. mwanamke mrefu raha awe giant fulani bhana!!
Wakati mwingine pesa inachangia.
Kama wanapendana vizuri
kwani umelazimishwa kusoma hii post...?
na ndio maana kuna majukwaa mengi.. hii ni love connect kama unajiona unapenda sana siasa nenda jukwaa la siasa... humu kila mtu ana uhuru aisee mwache mwenye kutafuta partner atafute we kajadili uchaguzi huko
Dada angu kwanza nimefurahi kua umuislam na unatafta mume wa kukustri.nijambo jema sana.ila sidhani kua mume bora anapatikana kwenye elim hiyo kwa mujibu wa mafundisho ya quran na hadith za mtume.
KUWENI MAKINI VIJANA, ANGALIENI HAPA CHINI, MTAJA LIA NYIE;
Mlima meru
8th February 2013 20:39 #1 Senior MemberArray Join Date : 30th December 2012 Posts : 115 Rep Power : 463 Likes Received 16 Likes Given 9
[h=2]
Kuna msichana muislam anayetafuta mume?[/h]
Wapendwa,
Nilitoa tangazo langu hapa la kutafuta mke mwema. Ukweli nilipata watu wengi walio positive mainded ila shida ikawa ni Dini.
Mimi ni muislam hivyo nahisi nikipata msichana wa kiislam aliyesoma vizuri (mfanya biashara au muajiriwa) nitamfanya awe mke wangu.
Napendelea awe na umri wa miaka kati ya 30 - 34.
· Awe mrefu wa wastani (150 hadi 165cm)
· Akiwa na bantu figure ni added advantage
· Akiwa pia mzaliwa wa kilimanjaro ni added advantage
· Kama anaweza kuongea kichagga cha kishumundu au Kipare cha ziwa jipe na kiingereza cha Marekani pia nitapenda sana.
· Awe presentable na anaye weza kuongea mbele ya watu
· kama anaweza kuendesha Vokswagen model ya 1972 ni poa sana kwani mimi napenda magari ya zamani
Kama yupo mwenye sifa naomba ani pm nitampa namba yangu ya BBM au Whats up tuchat Last edited by Mlima meru; 8th February 2013 at 20:55.
Mlima meru
20th February 2013 20:36 #21 Senior MemberArray Join Date : 30th December 2012 Posts : 115 Rep Power : 463 Likes Received 16 Likes Given 9
Re: Beautful and Smart Lady is needed
Frankly, I am a gentleman but I loved the way you put your words.
I am sure a lady who will fit your specification will be a perfect wife.
I will love to copy something from your post...when you are done.
Big up man... you made it!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.