kaisiki kalungi
Member
- Aug 4, 2015
- 46
- 45
uko tayari kuwa mke wa pili?
atoto njoo upewe kadi ya harusi.Mfikishie Atoto na Sizitaki Mbichi Zake... Mwambie Umuhimu Wangu ni Kama Maji
Dah tatizo apo ni umri,ila km VP nipe ilo zali LA kimentaliWapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.
- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi
- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na Afya njema na mcha Mungu
- Mimi nina umri wa kuanza maisha
- Nina Elimu ya Chuo Kikuu
- Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
- Sijaolewa wala sina mtoto
- Ni mcha mungu na nina Afya njema
- Ni mwembamba mrefu wa wastani (162cm hivi)
Mengine karibu to chat
Mtu akiniambia niko selective na mshangaa kwani sjaona cha ajabu nimeandika hapo?
Mimi nina miaka 31 nimeomba mtu wa angalau age ya 35 and above; nikiacha open nitapata lunndle la serengeti boys
Elimu nimeweka japo Diploma, Kimsingi tofauti ya Elimu ilkwa kubwa sana hasa kwa mwanamke mwanamme hujihisi anadharauliwa...
Unajua sikuhisi na hiki kiswanglish...unaweza kupewa kesi ya kudharau ambayo hujakusudia...
Kama kuna chengine cha ajabu mtu aniambie ni rebishe...
Nao wengi wana sema ni pm??? kama wana sifa naomba wao wani pm please
Asante
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.
- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi
- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na Afya njema na mcha Mungu
- Mimi nina umri wa kuanza maisha
- Nina Elimu ya Chuo Kikuu
- Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
- Sijaolewa wala sina mtoto
- Ni mcha mungu na nina Afya njema
- Ni mwembamba mrefu wa wastani (162cm hivi)
Mengine karibu to chat
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.
- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi
- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na Afya njema na mcha Mungu
- Mimi nina umri wa kuanza maisha
- Nina Elimu ya Chuo Kikuu
- Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
- Sijaolewa wala sina mtoto
- Ni mcha mungu na nina Afya njema
- Ni mwembamba – mrefu wa wastani (162cm hivi)
Mengine karibu to chat
Mwanaume wa kiislamu mwenye umri kuanzia 35 ni vigumu kumkuta hajaoa sana sana atakudanganya akuoe mke wa pili
Kuwa makini
Hope umejipanga kukabiliana na matapeli
But kama uko tayari kuwa mke wa pili sio mbaya pia kwa umri wako
Utakua sio muislamuMbona mimi bado sijaoa acha kutupeperushia ndege.
Utakua sio muislamu
Na kama muislamu umetaliki na idadi ya watoto ni kubwa kulingana na uhitaji wake muombaji
Kama unaona umekidhi vigezo si umtafute
Mi nmetoa ushauri tu
Kazi kwa muombaji
Wanasema akili za kuambiwa changanya na zako