Nahitaji mume wa Kiislam

Nahitaji mume wa Kiislam

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha.

- Awe Muislam wa umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi

- Awe na Elimu kuanzia Diploma na kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
- Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
- Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye familia
- we na Afya njema na mcha Mungu

- Mimi nina umri wa kuanza maisha
- Nina Elimu ya Chuo Kikuu
- Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
- Sijaolewa wala sina mtoto
- Ni mcha mungu na nina Afya njema
- Ni mwembamba – mrefu wa wastani (162cm hivi)

Mengine karibu to chat

"Mada imefungwa....waliopo kwenye mchakato wanatosha"
 
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha

Awe muislam wa Umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi

Awe na Elimu kuanzia Diploma na Kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye Familia
Awe na Afya njema na mcha mungu

Mimi nina umri wa kuanza maisha
Nina Elimu ya Chuo Kikuu
Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
Sijaolewa wala sina mtoto
Ni mcha mungu na nina Afya njema
Ni mwembamba – mrefu wa wastani (162cm hivi)

Mengine karibu to chat

Aaaah mume umepata vigezo vyote nnavyo na cha nyongeza mm hb aaya nitupie kapicha
 
Wapendwa na mimi najitokeza kujitafutia mwenza kama yupo anaye kidhi vigezo namkaribisha

Awe muislam wa Umri wa kuanzia 35 hadi 45 hivi

Awe na Elimu kuanzia Diploma na Kuendelea na awe ameajiriwa au kujitegemea
Awe hajaoa ila kama ana mtoto mmoja sio tatizo
Awe anajimbua/anajua wajibu wa mume kwenye Familia
Awe na Afya njema na mcha mungu

Mimi nina umri wa kuanza maisha
Nina Elimu ya Chuo Kikuu
Nina kazi- Nimeajiriwa Serikalini
Sijaolewa wala sina mtoto
Ni mcha mungu na nina Afya njema
Ni mwembamba – mrefu wa wastani (162cm hivi)

Mengine karibu to chat

Unatoa....!!!!?????
 
Umri wako tafadhali.
 
Mimi ni mtu mzima above 50yrs.kama unakidhi vigezo vyote vya kuwa mke wa pili naweza kukufikiria
 
Picha siwezi kuweka ila nitamtumia atakaye onesha kukidhi vigezo
Umri wangu ni miaka 31

Nafkiri unaweza kuona sababu cha kuweka umri wa mwenza 35 hadi 45...ili tofauti isiwe kubwa sana
 
Hebu ni-Pm tuyamalize faster achana na hao wengine sio waoaji!
 
Wadada warefu tatizo lao. Ni too much selective..Bila kujua kwamba age are numbered

Sio selective, kiukweli mdada mrefu kuwa na kiandunje haipendezi, tatizo kubwa wanaume wafupi wanawabagua wadada wafupi na kujing'ang'aniza ka wadada warefu wakati sio type yao.
 
Kumbe kwenye mapenz kuna typ..kila mtu na typ yake ehh.

Mwisho wa siku ndo.unakuja huku kutafuta mume..maji yakishafika shingoni.

Tatizo la wanawake mna expire date.
 
mbona kuna couple nying saana zinafanya maisha .na unakuta mwanaume mfupi na mwanamke mrefu. Na watu wana enjoy maisha
 
Ndio kaka, binafsi mtu mfupi simtaki hata kumuona, maana wanaongea sanaaa, hawajiamini, ukiongozana nae mara akushike mkono, anaongea kwa sauti ili kila mtu awaone mnapita, mimi aiseee!! vishort mmhhmm!!!!!!!! bora kuexpire kwa kweli ila sio kuishi na mtu akisema tutoke unamwambia nenda tu. mwanamke mrefu raha awe giant fulani bhana!!

mbona kuna couple nying saana zinafanya maisha .na unakuta mwanaume mfupi na mwanamke mrefu. Na watu wana enjoy maisha

Wakati mwingine pesa inachangia.
Kama wanapendana vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom