Yah kabisaNina wasiwasi huyu mleta uzi anazo id zaidi ya mbili na zote kajoin btn 23 march mpaka 1 April. Na nyuzi zake ni zilezile anatafuta mume na pichazake anazoweka ni hizohizo kwenye mabandiko yake yote Zeena Salum Saffiyyah Ramadhan mrembomzuri
Na usikute ni dume yuko kimkakati humu
Kuweni makini mablazaYah kabisa
🤣🤣🤣Nina wasiwasi huyu mleta uzi anazo id zaidi ya mbili na zote kajoin btn 23 march mpaka 1 April. Na nyuzi zake ni zilezile anatafuta mume na pichazake anazoweka ni hizohizo kwenye mabandiko yake yote Zeena Salum Saffiyyah Ramadhan mrembomzuri
Na usikute ni dume yuko kimkakati humu
Tatizo majibu yako ndo yanatia wasiwasi. Mimi kweli nahitaji ila WhatsApp yako ni kama robot anajibu. Nikaacha.Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 45-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp.......
==>> 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 45-75 USINITAFUTE.
Binadamu akituliza akili vizuri anaweza gundua jambo bila hata kuona ,mimi kuna I'd hata sura zao nazifahamu kwa hisia tu , na kuna baadhi nilikuja kufahamiana nao nikapatia😁😁😁Kwakweli naona
Kumbe uko vizuri 😂😂😂Binadamu akituliza akili vizuri anaweza gundua jambo bila hata kuona ,mimi kuna I'd hata sura zao nazifahamu kwa hisia tu , na kuna baadhi nilikuja kufahamiana nao nikapatia😁😁😁
Acha kabisa rafiki ila wanakuwaga na target zao hao.Salamaleko rafiki🙋🏽♀😂, watu wana hekaheka sana humu
Sawa ukuje PM tuyajenge bibie ingawa wewe hujasema una miaka ngapi?Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 45-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 45-75 USINITAFUTE.
🤣🤣🤣🤣Assalaam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh.
Kwa jina naitwa Aziza Ramadhan, nahitaji mume mtu mzima ambaye anajua wajibu na majukumu yake, miaka 45-75. Niko serious kabisa kwa hili. Kwa maongezi zaidi njoo WhatsApp 0711-297 086.
NB: KAMA HUNA MIAKA 45-75 USINITAFUTE.
😁Kumbe uko vizuri 😂😂😂
Uzuri mmoja sibabaishwagi na uzuri wa suraKuweni makini mablaza
Serious anatafuta tu mmoja aende Kichwa Kichwa amnyooshe😀😃Acha kabisa rafiki ila wanakuwaga na target zao hao.
Kwanini wanawake wakishachoka at the age of 30+ ndo hututa mme kwa nguvu.Kila la kheri mwaya.
Japo huu uzi umefanya nikumbuke miaka ya nyuma kuna jamaa aliwahi kujiita Boss Lady.
Naye alikuwa anajitupia hatari. 🤣
We safiUzuri mmoja sibabaishwagi na uzuri wa sura
Unakuta nikidume kimekaa na kengele zake kabisa kina suka drama kama hizi🤔Serious anatafuta tu mmoja aende Kichwa Kichwa amnyooshe😀😃
Mkuu mbona kwenye hiyo picha aliyoifuta kanaonekana bado ni kasichana tu kwa kumkadiria havuki 28.Kwanini wanawake wakishachoka at the age of 30+ ndo hututa mme kwa nguvu.
Hahah mjini mipango,Unakuta nikidume kimekaa na kengele zake kabisa kina suka drama kama hizi🤔