Nahitaji mume aliye serious na maisha

Nahitaji mume aliye serious na maisha

Maono yako sio mabaya, pia unaitumia akili vizuri sanaaaaa HONGERAAAA yako dada INAPENDEZA. Ila itumie pia hiyo akili kwa upande zaidi kwenye kutafakari na kusoma vitabu vyote venye kukuongoza kuzijua Dini zote nakukumbusha tuu kama mwanaadamu mwenzako.
mpendwa
 
Mimi niko serious lakini vigezo ulivyoviweka vinanitoa kwenye ulingo.
Nimeikosa hii bahati.
 
Wanaume tumegoma kuoa bhana hatutaki stress...Kama show show labda ndo tukufikirie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom