Nahitaji mtu wa kuzaa naye

Kuna movie moja ina kisa kama hiki niliiangalia juzi juzi tu jina limenitoka kama mtu anaikumbuka atutajie ili wachangiaji waiangalie na kujifunza kitu kabla ya kuingia deal za aina hii
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Umeamua kuwa punda na ww? Haya ngoja waje wenye shida hio
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
bila ya kula papuchi??
 
Beauty hongera ila mwenzetu mgeni(unajua kutumia fursa) jana tu umejiunga leo ushaijua pm. Na biashara juu.
Huyu sio mgeni. Bali ni mwenyeji alie amua kutumia ID mpya.

Ebu jiulize......
Kajuaje mambo ya mp?
Na kajuaje kama hua tunaomba/toa ushauri humu?
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
ukipata hiyo incubator nistue na mimi
 
Hii kwa Dunia ya kwanza unapata dollar za kutosha achilia mbali matunzo.

Urusi wanafanya sana kwa ajili ya kupata askari,hata Japan
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Pole sana, anyway joined this Tuesday
 
mi niko tayar kuja tuongee ila utafuata my utaratibu
 
HAbari zenu,
Kichwa cha habari kinahusika,
MImi ni binti 24years
Nahitaji wa kuzaa nae kwa njia za kisayansi kwa mkataba(makubaliano) maalumu.
Sihitaji mtoto wangu binafsi
Sihitaji Baba wa mtoto
Nahitaji mumenamke ambao wanahitaji mtoto wa damu yao na imeshindikana kwa njia ya kawaida.
Tupandikize mbegu nilee mimba punde nitakapojifungua wanamchukua mtoto wake.

Kama yupo aliyetayari tuwasiliane inbox(PM)
Tafadhali sihitaji ushauri ni maisha yangu nimeamua hivi.
Pumbavu sana tena mwili mzima,
Uzae hafu umuuze mtoto ili hiyo hela ukaanzishe mtaji wa unga??
 
Back
Top Bottom