Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,041 Reaction score 13,473 Nov 19, 2013 #1 Kichwa cha habari cha husika. Nahitaji tisheti 3,moja nyeusi,nyingine rangi ya chai ya maziwa na nyingne nyeupe. Moja iwe na picha ya zitto kabwe, nyingne picha yangu nikiwa nimevaa ile kofia ya kuhitimu yenye maneno ya excellent boy.tuchekiane hapa
Kichwa cha habari cha husika. Nahitaji tisheti 3,moja nyeusi,nyingine rangi ya chai ya maziwa na nyingne nyeupe. Moja iwe na picha ya zitto kabwe, nyingne picha yangu nikiwa nimevaa ile kofia ya kuhitimu yenye maneno ya excellent boy.tuchekiane hapa
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,041 Reaction score 13,473 Nov 19, 2013 Thread starter #2 Nyingine iwe na chata la the godfather ,mzee vitto andolini corleone. Niwekeeni sample hapa then tufanye biashara
Nyingine iwe na chata la the godfather ,mzee vitto andolini corleone. Niwekeeni sample hapa then tufanye biashara
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Nov 19, 2013 #3 ...elfu 50,000/= kwa kila tshirt unazo nikupe kijana wangu hapo dar..?
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,041 Reaction score 13,473 Nov 19, 2013 Thread starter #4 gefu said: ...elfu 50,000/= kwa kila tshirt unazo nikupe kijana wangu hapo dar..? Click to expand... kwa hyo bei hizo tisheti zinajifua zenyewe au?
gefu said: ...elfu 50,000/= kwa kila tshirt unazo nikupe kijana wangu hapo dar..? Click to expand... kwa hyo bei hizo tisheti zinajifua zenyewe au?
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,855 Reaction score 63,420 Nov 19, 2013 #5 nitumie artwork yako nikuprintie fasta ndani ya masaa mawili tu.
Gefu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2010 Posts 6,929 Reaction score 2,567 Nov 19, 2013 #6 Deo Corleone said: kwa hyo bei hizo tisheti zinajifua zenyewe au? Click to expand... ...we unazani vijana wangu wamekuja mjini kucheza, kutwa nzima vijana waumize kichwa kwa vitsheti vitatu,kwa maslahi gani ...
Deo Corleone said: kwa hyo bei hizo tisheti zinajifua zenyewe au? Click to expand... ...we unazani vijana wangu wamekuja mjini kucheza, kutwa nzima vijana waumize kichwa kwa vitsheti vitatu,kwa maslahi gani ...
ladyfurahia JF-Expert Member Joined May 10, 2011 Posts 14,758 Reaction score 9,592 Nov 19, 2013 #7 bora umemwambia anafikiri kuprint bei gani au anachezea akili za watu huyo Gefu said: ...we unazani vijana wangu wamekuja mjini kucheza, kutwa nzima vijana waumize kichwa kwa vitsheti vitatu,kwa maslahi gani ... Click to expand...
bora umemwambia anafikiri kuprint bei gani au anachezea akili za watu huyo Gefu said: ...we unazani vijana wangu wamekuja mjini kucheza, kutwa nzima vijana waumize kichwa kwa vitsheti vitatu,kwa maslahi gani ... Click to expand...
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,041 Reaction score 13,473 Nov 19, 2013 Thread starter #8 ladyfurahia said: bora umemwambia anafikiri kuprint bei gani au anachezea akili za watu huyo Click to expand... we umeshndwa kuniambia? kwani hakuna sehemu wanayoprint tishet moja? we ni mjasiriamali jifunze lugha za kuhandle busines
ladyfurahia said: bora umemwambia anafikiri kuprint bei gani au anachezea akili za watu huyo Click to expand... we umeshndwa kuniambia? kwani hakuna sehemu wanayoprint tishet moja? we ni mjasiriamali jifunze lugha za kuhandle busines
Deo Corleone JF-Expert Member Joined Jun 29, 2011 Posts 17,041 Reaction score 13,473 Nov 19, 2013 Thread starter #9 kobun said: nitumie artwork yako nikuprintie fasta ndani ya masaa mawili tu. Click to expand... Thanks ninja,hebu pitia hayo maelezo hapo juu then nipe sample na bei tufanye biashara
kobun said: nitumie artwork yako nikuprintie fasta ndani ya masaa mawili tu. Click to expand... Thanks ninja,hebu pitia hayo maelezo hapo juu then nipe sample na bei tufanye biashara
figganigga Platinum Member Joined Oct 17, 2010 Posts 27,855 Reaction score 63,420 Nov 19, 2013 #10 Deo Corleone said: Thanks ninja,hebu pitia hayo maelezo hapo juu then nipe sample na bei tufanye biashara Click to expand... sample utalipia. tuma artwork ili utengenezewe sample ya utakacho. kwanza wewe upo wapi?
Deo Corleone said: Thanks ninja,hebu pitia hayo maelezo hapo juu then nipe sample na bei tufanye biashara Click to expand... sample utalipia. tuma artwork ili utengenezewe sample ya utakacho. kwanza wewe upo wapi?